TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA - MAJINA YA NYONGEZA (27-09-2025)
INTERVIEW_CALLSeptember 30, 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba yaChuo cha Usimamizi wa
Fedha (IFM), MDAs & LGAs, Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mamlaka ya
Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR), Chuo cha Takwimu
Mashariki mwa Afrika (EASTC) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa
usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 30/09/2025 hadi 24/10/2025 hatimaye kuwapangia
vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo
Attachments
Main Attachment
External file link