TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA (01-09-2025)
INTERVIEW_CALLSeptember 30, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote
walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 09/09/2025 hadi tarehe 10/09/2025 na
hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Attachments
Main Attachment
External file link