TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO (01-09-2025)

INTERVIEW_CALLSeptember 30, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 09/09/2025 hadi Tarehe 12/09/2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Attachments

Main Attachment

External file link