TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (22-08-2025)
PLACEMENTAugust 23, 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa
nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 12-06-2025 kuwa matokeo
ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya
majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa
kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana
Attachments
Main Attachment
External file link