TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (09-09-2025)
PLACEMENTSeptember 10, 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa
nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21-03-2025 na tarehe 12-06-2025 kuwa matokeo
ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya
majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa
kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana
Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa
vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My
Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na
Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiw
Attachments
Main Attachment
External file link