TANGAZO LA KUITWA KAZINI (MAJINA YA NYONGEZA) CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
PLACEMENTSeptember 5, 2025
mbalimbali waliofanya usaili tarehe 13 hadi 16 Julai, 2025 kuwa, majina ya waombaji
kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa
kufika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jengo la Utawala, Ofisi ya Masijala,
Chumba Na. 315 siku ya Jumatatu, tarehe 8 Septemba, 2025 kuanzia saa tatu kamili
asubuhi, wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili ziweze kuhakikiwa
kabla ya kupewa barua za ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa hawakupata
nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za
kazi zitakapotangazwa.
Attachments
Main Attachment
External file link