TANGAZO LA KUITWA KAZINI
PLACEMENTAugust 3, 2025Updated 8/23/2025
Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi
Muhimbili (MUHAS) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya
usaili tarehe 19 Mei, 2025 hadi tarehe 20 Mei, 2025 kuwa majina ya waombaji
kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Aidha, ajira zao zitakuwa rasmi pale vyeti vyao vitakapohakikiwa na kuthibitishwa
na mamlaka husika. Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu
mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi
Muhimbili (MUHAS) tarehe 6, na 7 Agosti, 2025 kuanzia saa tatu kamili asubuhi
wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili zihakikiwe kabla ya
kupewa barua ya ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili
watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba
kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa
Attachments
Main Attachment
External file link